NGURUWE AZAA MTU!..KIJANA ALIYEMTIA MIMBA ASAKWA

KATIKA HALI YA KUSHANGAZA,NGURUWE AMEZAA KIUMBE KINACOFANANA NA BINADAMU HUKO BURUNDI,TUKIO HILI LILITOKEA JUZI AMBAPO NGURUWE HUYO AMBAYE AMEZOELEKA KUZAA WATOTO ZAIDI YA WASTANI ALIZAA KIUMBE KIMOJA TU CHENYE ASILI YA KICHWA CHA BINADAMU HUKU SEHEMU NYINGINE ZIKIWA NI MNYAMA.



Hata Hivyo wengi waa wakazi wa Nchi hilo wamehusisha tukio hilo na imani za  Ushirikina huku wataalamu wakisema kunauwezekano kuwa kunabinadamu aliemuingilia mnyama huyo na kumuachia mbegu za kiume

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

Previous
Next Post »

1 comments:

Click here for comments
20 February 2015 at 07:01 ×

Mungu yu adhihirisha uwepo wake!

Selamat Nsolo S. Stephen dapat PERTAMAX...! Silahkan antri di pom terdekat heheheh...
Balas
avatar
admin
Thanks for your comment